LIPUMBA AANGUKIA PUA, CUF WAMTEMA UENYEKITI
Автор: Weyani Tv
Загружено: 2026-02-23
Просмотров: 1515
Описание: Mwanasiasa mkongwe wa upinzani kutoka Chapman Cha Wananchi, CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amepoteza nafasi ya mwenyekiti wa chama hicho katika uchaguzi wa jana. Hapo awali, msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania alisema kuwa uchaguzi uliompa nafasi ya kuwa mwenyekiti wa CUF mwaka 2024 ulikuwa batili. Sikiliza ripoti hii iloyoandaliwa na DW Kiswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: