SIMBA DAY 2024 | Ahmed Ally katika utambulisho wa wachezaji wote wa Simba kueleka 2024/25
Автор: Azam TV
Загружено: 2024-08-07
Просмотров: 141287
Описание:
Hivi ndivyo wachezaji wote wa Simba waliosajiliwa kwa ajili ya msimu wa 2024/25 walivyotambulishwa ndani ya tamasha la Simba Day 2024 lililofanyika Agosti 03, 2024 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Aliyeifanya kazi hii ni Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally.... Cheki mambo yalivyokuwa...
Je, ni utambulisho wa nani ulikukosha zaidi????
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: