HATUJAINYIMA FAST JET VIBALI VYA KUINGIZA NDEGE- MKURUGENZI MKUU TCAA AFAFANUA
Автор: Tanzania Civil Aviation Authority - TCAA TV
Загружено: 2018-12-27
Просмотров: 5974
Описание:
Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Hamza S Johari akikanusha na kutolea ufafanuzi tuhuma dhidi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania kuzuia vibali kwa shirika la ndege la Fast Jet alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano katika Makao Makuu ya TCAA, Banana Ukonga.
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania ni taasisi ya umma yenye jukumu la kudhibiti sekta ya usafiri wa anga katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka iliundwa kwa Sheria ya Usafiri wa Anga, Sura ya 80 (R.E 2006).
Majukumu ya kisheria ya Mamlaka ni kudhibiti masuala ya ki-usalama, ki-uchumi katika usafiri wa anga na kutoa huduma za uongozaji ndege.
Pia Mamlaka inatoa huduma za uongozaji ndege kwenye vituo vya ndege kumi na nne (14) ambavyo ni: Dar es Salaam, Kilimanjaro,Tanga, Arusha, Mwanza,Tabora,Kigoma, Dodoma, Iringa, Songwe, Songea, Mtwara, Zanzibar na Pemba
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: