ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

GIVE ME THAT MOUNTAIN - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Автор: Bishop Sunbella Kyando

Загружено: 2021-12-02

Просмотров: 22386

Описание: Kalebu anamkumbusha Yoshua kuhusu ahadi na kiapo alichoapa Musa kwa Mungu kuwa atampa nchi baada ya kuingia Kanaani kwa ajili ya wema na utimilifu wake kwa za Mungu.Kabla ya kuingia Kanaani Musa alituma wapelelezi wakapeleleze kwenye hiyo nchi(Kanaani) na wapelelezi kumi walikuja na taarifa mbaya kasoro Yoshua na Kalebu peke yao,na kwa sababu hiyo Musa akamuapia Kalebu kwa Mungu kuwa watakapoingia Kanaani kuna nchi atampa.
Musa hakufanikiwa kuingia Kanaani kwa sababu alimkosea Mungu na Mungu akamwambia kuwa hatoingia ile nchi.Wakati Kalebu anaahidiwa ahadi hii alikuwa na umri wa miaka 40 na ikapita miaka 45 zaidi bila yeye kupewa hiyo nchi.
Wakati huo watu wa Yuda walikuwa wamemfuata Yoshua kwa sababu kuna maeneo walikuwa wakiyataka,Kalebu naye akaenda na akamkumbusha Yoshua juu ya ahadi aliyoahidiwa maana wakati Musa anaahidi Yoshua naye alikuwepo.
Na Kalebu hakuishia hapo,alimwambia Yoshua eneo analolitaka,nchi iliyopo katika mlima Horebu.Ukisoma mstari wa 12 utaona kitu kikubwa sana;Kalebu anasema kuwa kama ambavyo alikuwa na nguvu alipopewa ahadi hii akiwa na miaka 40 vivyo hivyo bado ana nguvu za kupigana vita hata katika miaka hiyo 85 aliyonayo.Kwa maana nyingine ni kuwa, kutokana na ahadi ambayo ipo kwenye maisha yake mwili wake haukutakiwa kukua na kuishiwa nguvu maana atazihitaji kwenye kumiliki ahadi yake.Mungu ilibidi aende kinyume na kanuni za mwili kuwa hata katika miaka 85 aliyonayo bado ana nguvu za kupigana vita na jeshi na akashinda.
Mungu anapokupa ahadi hata kama kanuni ya mwili hairuhusu bado Mungu yupo juu ya kanuni zote.Kama una ahadi ya kupata mtoto kwenye maisha yako,hata kama kanuni ya mwili inasema umri wako umeenda sana na huwezi tena kushika ujauzito lakini kwa Mungu hakuna kisichowezekana.
Lakini pia Kalebu alijua kuwa kuwa na nguvu za mwili tu haitoshi kushinda vita,alihitaji pia Neno la Mungu kutoka kwa Yoshua.Neno la Mungu huwa limebeba nguvu lakini pia neema ya kukusaidia,kuwa na nguvu bila kuwa na Neno la Mungu bado hutoweza kushinda.
#PastorSunbella#GiveMe#ThatMountain

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
GIVE ME THAT MOUNTAIN - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KUONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU - BISHOP SUNBELLA KYANDO

KUONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU - BISHOP SUNBELLA KYANDO

UFAHAMU WAKO JUU YA MUNGU – PASTOR SUNBELLA KYANDO

UFAHAMU WAKO JUU YA MUNGU – PASTOR SUNBELLA KYANDO

NYOTA YAKO INAKUTAMBULISHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

NYOTA YAKO INAKUTAMBULISHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

SHETANI HANA NGUVU  BALI ANAZO HILA  - PASTOR SUNBELLA KYANDO

SHETANI HANA NGUVU BALI ANAZO HILA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

SIRI ZILIZO KWENYE UDONGO

SIRI ZILIZO KWENYE UDONGO

YESU ANAFUFUA VILIVYO KUFA  NA KUOZA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

YESU ANAFUFUA VILIVYO KUFA NA KUOZA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Ուշադի՛ր / Ushadir! / Գոռ Մեխակյան / 20.12.2025

Ուշադի՛ր / Ushadir! / Գոռ Մեխակյան / 20.12.2025

MADHABAHU INAVYOMSHIKILIA MTU - PASTOR SUNBELLA KYANDO

MADHABAHU INAVYOMSHIKILIA MTU - PASTOR SUNBELLA KYANDO

«Как получить дар истолкования иных языков» – Рик Реннер

«Как получить дар истолкования иных языков» – Рик Реннер

GHARAMA YENYE FAIDA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

GHARAMA YENYE FAIDA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

JUA NAMNA YA KUVUKA VIZUIZI - PASTOR SUNBELLA KYANDO & PASTOR JOHN SEMBATWA

JUA NAMNA YA KUVUKA VIZUIZI - PASTOR SUNBELLA KYANDO & PASTOR JOHN SEMBATWA

UWEZO WA KUSHINDA MAKUBWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

UWEZO WA KUSHINDA MAKUBWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

UKUU HUVUTA WATU - BISHOP SUNBELLA KYANDO

UKUU HUVUTA WATU - BISHOP SUNBELLA KYANDO

UCHUMI ULIOTEKWA (DAY ONE) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

UCHUMI ULIOTEKWA (DAY ONE) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

MUNGU HUINUA MTU MKUU KWENYE KILA FAMILIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

MUNGU HUINUA MTU MKUU KWENYE KILA FAMILIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Mungu anapangua yale shetani anapanga | Rev Edward Mwai

Mungu anapangua yale shetani anapanga | Rev Edward Mwai

UNAMSIKIAJE ROHO MTAKATIFU? - BISHOP SUNBELLA KYANDO

UNAMSIKIAJE ROHO MTAKATIFU? - BISHOP SUNBELLA KYANDO

SEHEMU ULIYOPO  INAVYOWEZA KUHUSIKA KUPINGA MAFANIKIO YAKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

SEHEMU ULIYOPO INAVYOWEZA KUHUSIKA KUPINGA MAFANIKIO YAKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

MTAZAMO WAKO NDIO MPAKA WAKO

MTAZAMO WAKO NDIO MPAKA WAKO

KUJENGA NYUMBA JUU YA MWAMBA

KUJENGA NYUMBA JUU YA MWAMBA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]