#ONK
Автор: Dr. Makirita Amani, MD. CFE.
Загружено: 2024-04-14
Просмотров: 1319
Описание:
Inapokuja kwenye fedha, watu wamekuwa wanakazana kutumia akili kubwa, lakini bado wanashindwa. Hiyo ni kwa sababu kwenye fedha, tabia zina nguvu kuliko akili.
Wapo watu wenye akili nyingi na elimu kubwa, lakini kwenye fedha wanaishia kubaki kwenye umasikini. Na wapo watu ambao hawana akili nyingi wala elimu kubwa, lakini wanajenga utajiri mkubwa.
Mwandishi Morgan Housel, kwenye kitabu chake kinachoitwa THE PSYCHOLOGY OF MONEY, ameshirikisha masomo 20 kuhusu fedha, tamaa, utajiri na furaha. Masomo hayo yanatugusa moja kwa moja kwenye maeneo mbalimbali ya maisha yetu.
Karibu ujifunze hayo kwenye kipindi hiki.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: