SEHEMU II: USIYOYAJUA KITUO CHA BIASHARA UBUNGO
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2025-03-07
Просмотров: 2642
Описание:
DAR ES SALAAM: KITUO cha Biashara cha Afrika Mashariki na Kati (EACLC) kinachojengwa Ubungo, Dar es Salaam, ni mradi mkubwa unaolenga kuboresha miundombinu ya kibiashara katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
Mradi huu unajengwa katika eneo la zamani la stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani na unatarajiwa kuwa na maduka na ofisi zipatazo 2,060, ambapo wafanyabiashara wadogo na wakubwa, pamoja na watengenezaji wa bidhaa mbalimbali kutoka Tanzania, China na Nchi za Afrika Mashariki, watapata fursa ya kuuza na kununua bidhaa zao.
Kituo hiki kitakuwa cha kwanza kwa ukubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki na nchi 16 za Jumuiya ya Kusini mwa Afrika (SADC) kwa kupokea wafanyabiashara, na kinatarajiwa kuwa na mauzo ya dola milioni 500 kwa mwaka.
Imeandaliwa na @ismailykawambwa @samwelsway3
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: