Anaamka asubuhi anakuta minyoo inatoka kwenye K*m* kilichomPata itakupa funzo.
Автор: BONGO STAR MEDIA
Загружено: 2026-02-11
Просмотров: 344
Описание: "Karibu Bongo Star Media! Mimi ni Jimmy Godfrey, mtangazaji wako, nikuletea mahojiano ya kipekee na watu wenye maisha magumu hapa Tanzania na zaidi. Katika channel hii, utapata simulizi za kweli za mateso, changamoto, na hadithi za kugusa moyo ambazo haziambiwi mara kwa mara. Kuanzia maisha ya shida, mateso ya kazi za nje, hadi juhudi za kushinda migogoro, tunaangazia historia za watu halisi. Jiunge nami kila wiki kwa mahojiano ya kusisimua na ya kuelimisha. Usisahau kusubscribe na kuwa sehemu ya safari hii ya kugundua maisha ya wengine!"
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: