Jinsi ya Kuongeza Faili za CSS kwenye Django | How to Add Static CSS Files in Django |
Автор: Swahili Coderz
Загружено: 2025-04-16
Просмотров: 51
                Описание:
                    📌 Jinsi ya Kuongeza CSS kwenye Django | How to Add Static CSS Files in Django
Swahili Version 🇰🇪:
Karibu kwenye video hii ya mafunzo! Katika video hii, utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kuongeza faili za CSS (static files) kwenye mradi wako wa Django ili kufanya tovuti yako ionekane vizuri zaidi.
✅ Utajifunza:
Kuweka static files (CSS) kwenye Django
Kuunganisha CSS na HTML templates
Kurekebisha muonekano wa tovuti yako kwa kutumia CSS
Hii video ni bora kwa wanaoanza kujifunza Django na web development kwa Kiswahili.
Welcome to this Django tutorial! In this video, you'll learn step-by-step how to add CSS static files to your Django project and improve your website design.
✅ You’ll learn:
How to add and configure static files (CSS) in Django
How to link CSS to your HTML templates
Styling your Django website to look modern and clean
This tutorial is perfect for beginners and anyone learning Django web development.
👉 Don’t forget to like, subscribe, and share with friends who are learning to code!
#Django #CSS #DjangoTutorial #StaticFiles #Python #WebDevelopment #LearnDjango                
                
Повторяем попытку...
 
                Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
- 
                                Информация по загрузке: