Ni Vita Kubwa Chadema? UTEUZI wa SUGU WAFUTWA NA OFISI YA KATIBU MKUU CHADEMA
Автор: HARAKATI TV
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 6953
Описание:
Ni hali ya sintofahamu ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya Ofisi ya Katibu Mkuu kufuta uteuzi wa wenyeviti na makatibu wa kamati za kudumu Kanda ya Nyasa uliokuwa umetangazwa na Mwenyekiti wa Kanda hiyo, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu.
Hatua hii imeibua maswali mazito:
👉 Je, ni utekelezaji wa katiba na taratibu za chama au ni vita ya mamlaka ndani ya Chadema?
👉 Nani ana nguvu zaidi kati ya uongozi wa kanda na makao makuu ya chama?
👉 Uamuzi huu una athari gani kwa mustakabali wa Chadema Kanda ya Nyasa na siasa za upinzani kwa ujumla?
Katika video hii, tunafanya uchambuzi wa kina, bila jazba, tukitazama kilichotokea, sababu zinazoweza kuwa nyuma ya pazia, na ujumbe unaotumwa kwa wanachama na viongozi wa chama.
📌 Usisahau ku-like, ku-subscribe na kushare ili mjadala uendelee.
📺 harakatitv
• Uchambuzi wa Siasa:
• Breaking News:
• Ripoti za Maoni:
#siasatanzania #uchambuzi #harakatitv #ccm #chadema #tundulissu #uchaguzi2025 #breakingnews
News Theme 1 by Audionautix is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. https://creativecommons.org/licenses/...
Artist: http://audionautix.com/
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: