SIMULIZI BILIONEA MO DEWJI ALIVYOTEKWA KWA SIKU 9; "NILIKUWA NASUBIRI KUFA TU NIKAANZA KUOMBA MUNGU"
Автор: DAY 2 NEWS
Загружено: 2024-09-20
Просмотров: 41936
Описание:
#Day2NewsTV #CharlesWilliam #Zungu
Mwaka 2018 Bilionea Kijana zaidi Barani Afrika Mohamed Dewji alitekwa katika mazingira ya wazi na kuzua taharuki kubwa kwa umma. DAY TWO NEWS tumekuwekea makala inayokusimulia mkasa mzima wa tukio hilo, mwanzo mpaka mwisho. Karibu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: