ASANTE YESU
Автор: Kwaya ya Yesu Kristu Mfalme - Nyasubi Kahama
Загружено: 2024-09-16
Просмотров: 1540
Описание: "ASANTE YESU" Kwa kila jambo katika maisha yetu ya kila siku, liwe jema ,liwe baya. Wimbo "ASANTE YESU" unatukumbusha kuwa katika maisha haya na kila jambo linalotukuta sisi wanadamu ni mipango ya Mungu. Liwe gumu au jepesi, yote ni mipango ya Mungu hivyo hatuna budi kushukuru. Karibu@HOLYTRINITYSTUDIOS @tumainitelevision @ImbaNasiRadio @JugoMedia @Tesla-New-24 @radio-mbiu @kmckahama @benomkatoliki7433 @BongoFM @Bongofm989 @KWIZERAYESUTv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: