Imetimia Miaka 19 Tangu kuanzishwa kwa kampuni ya GF Trucks... Mkurugenzi Mkuu awahudumia chakula...
Автор: GF TRUCKS & EQUIPMENT
Загружено: 2026-02-11
Просмотров: 9
Описание: Kampuni ya GF Trucks & Equipment imeadhimisha miaka 19 tangu kuanzishwa kwake mwaka 2007, Katika hafla maalum iliyoandaliwa, Mkurugenzi Mkuu Ndg. Imran Karmali alitoa neno la shukrani pamoja na kuwahudumia chakula wafanyakazi wote wa GF Trucks & Equipment.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: