Safari ya Kupanda MLIMA SAKILA, Kikatiti, Arusha | Full adventure & moments.
Автор: Upatanisho International Church
Загружено: 2026-02-21
Просмотров: 18
Описание:
Huu ulikuwa ndo mwanzo wa safari ya Kupanda MLIMA SAKILA. haikuwa rahisi lakini kwa mkono wa Bwana, hakika tuliweza.
hakika tulimuona Mungu kwa viwango vikubwa sana. kwani tuliweza kupokea vya kiroho na kufunguliwa kwa kina zaidi. Vilevile Roho Mtakatifu alionekana kwa wingi na hata kurudishiwa vile vitu vyetu vya thamani adui alivyokuwa amenya'nganya.
Yote hayo ni Mwenyezi Mungu alitenda, hivyo sifa na utukufu tunamrudishia yeye.
Karibu sana kwenye huduma hii ya kinabii, ambapo Roho Mtakatifu yupo kwa ajili ya kukuhudumia wewe mtu wa Mungu.
Amen 🙏🙏
Here at Upatanisho International Church, we spreading the word of God to all people of all religions and tribes all over across the world.
=======================================
Follow us on:👇
Facebook: Upatanisho international church
Instagram: Upatanishochurchtz
Twitter (X): Upatanishointernationalchurch
TikTok: upatanisho international church
Threads: Upatanishochurchtz
YouTube: upatanisho international church
WhatsApp channel: Upatanisho International church ministry
WhatsApp No: 0752050787
Call: 0752050787/ 0756 971 172/ 0755836964/ 0757205201
Subscribe our YouTube Channel.
⚠️ Like, comment, share and subscribe
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: