Baruan Muhuza 'Kamarada' akieleza njia za kuipata UFM Radio (Azam UFM)
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2022-07-21
Просмотров: 6622
Описание:
Endelea kusikiliza @ufmradiotz kwa habari, matukio, maelezo, michezo na burudani kupitia masafa ya 107.3 ukiwa Dar es Salaam na maeneo ya jirani (Pwani & Zanzibar), unaweza kutupata pia kwa njia ya mtandao;
🔳Kupitia tovuti yetu (link kwenye bio)
🔳Mtandao wa Radio Garden
🔳Kwenye kisimbuzi cha Azam TV (Upande wa Radio)
🔳Pia kupitia 'Application' ya #AzamTVMaxApp & #AzamMaxWebbApp
#UFMRadio #SisiNiWewe #AzamUFM #AzamFM #baruanmuhuza
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: