Nguvu ya Kinywa - Apostle Lilian Ndegi
Автор: Living Water Church Tanzania
Загружено: 2026-03-02
Просмотров: 156
Описание:
NGUVU YA KINYWA | Mafundisho ya Apostle Lilian Ndegi
Katika somo hili lenye ufunuo mzito, Apostle Lilian Ndegi anafundisha kuhusu nguvu ya kinywa na jinsi maneno yetu yanavyoathiri maisha yetu ya kiroho, kimwili na hata mafanikio yetu ya kila siku.
Je, unajua kuwa kinywa chako kinaweza kujenga au kubomoa?
Maneno unayosema yanaweza kufungua milango ya baraka au kuzuia hatima yako.
Kupitia somo hili utajifunza:
✨ Umuhimu wa kutamka maneno ya uzima
✨ Jinsi ya kuvunja laana kwa matamshi sahihi
✨ Nguvu ya kutamka ahadi za Mungu juu ya maisha yako
✨ Hatari ya maneno hasi na manung’uniko
Ni wakati wa kutumia kinywa chako kama silaha ya ushindi, si chombo cha uharibifu.
🎥 Tazama mpaka mwisho, shiriki na wengine, na usisahau ku-Subscribe kwa mafundisho zaidi yenye kujenga imani yako.
#NguvuYaKinywa #ApostleLilianNdegi #MafundishoYaImani #Ufunuo #Injili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: