Sifuna atemwa na chama cha ODM
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-02-11
Просмотров: 5790
Описание:
Chama cha ODM kimemng’atua madarakani katibu mkuu wake Edwin Sifuna, katika mabadiliko ya uongozi yaliyoafikiwa na kwenye mkutano wa kamati kuu ya kitaifa ya chama hicho mjini Mombasa. Uamuzi wa chama hicho unafuatia tetesi kuhusu masuala ya nidhamu katika usimamizi wa chama hicho. Mwakilishi wa wanawake bungeni wa kaunti ya Busia Catherine Omanyo atachukua wadhifa wa kaimu katibu mkuu wa chama hicho, huku chama cha ODM kikiashiria mabadiliko makubwa yatatekelezwa kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: