Mustakabali wa elimu mwaka 2025, changamoto na mafanikio
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-01-01
Просмотров: 6
Описание:
Mwaka wa 2025 umekuwa mmoja wa miaka migumu zaidi katika sekta ya elimu nchini Kenya. Nchi nzima, shule zikipambana na gharama ya kuwakithi wanafunzi shuleni kuanzia vyuo vikuu hadi madarasa ya sekondari.
Sio hayo tu huku mabadiliko ya CBE kuelekea gredi ya kumi yakikaribia, shinikizo katika mfumo wa elimu ilikuwa kubwa kuliko wakati wowote.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: