SERIKALI IMEENDELEA KUCHUKUA HATUA ZA MAKUSUDI ZA KUIMARISHA UHURU WA MAHAKAMA
Автор: JUHUDI DIGITAL
Загружено: 2026-02-03
Просмотров: 33
Описание: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua za makusudi kuimarisha uhuru wa Mahakama ili kuiwezesha kutekeleza wajibu wake kikamilifu. Akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria jijini Dodoma, ameeleza kuwa hatua hizo zinalenga kuchochea ustawi na maendeleo ya Taifa kupitia ujenzi wa miundombinu, kuimarisha rasilimali watu, na kusogeza huduma za haki karibu na wananchi kupitia ujenzi wa Mahakama za Mwanzo katika kata zote nchini.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: