NO FILTER-JOACHIM VOLUME 5
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2026-02-21
Просмотров: 1667
Описание:
Wanasema kila mtu ana hatma yake… lakini hawasemi njia ya kuifikia huwa na maumivu kiasi gani.”
Yatima Joachim alikuwa kijana wa kawaida tu…
Alizaliwa kwenye familia ya kawaida… maisha ya kawaida…
Lakini changamoto zake hazikuwa za kawaida.
Alikulia kwenye mazingira ya kukosa.
Kukosa pesa.
Kukosa msaada.
Na wakati mwingine… kukosa hata mtu wa kumwambia “utaweza.”
Lakini ndani yake kulikuwa na ndoto kubwa.
Ndoto ambayo watu waliiona kama mzaha
Usikose kufuatilia Simulizi ya Joachim
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: