ODM yasema hakuna makataa ya ripoti za utekelezaji wa ajenda 10
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-03-04
Просмотров: 505
Описание: Baraza la kitaifa la chama cha ODM sasa kinasema kuwa hakukuwa na makataa ya kuwasilisha ripoti kuhusu utekelezaji wa ajenda zake kumi kufikia tarehe saba mwezi machi mwaka huu. Chama hicho kinasema kuwa mchakato huo ni endelevu na hauna muda kamili wa kukamilishwa. Aidha viongozi hao wa chama cha chungwa wanasema kuwa watafanya mkutano wa pamoja na wabunge wa chama cha UDA wiki ijayo ili kujadili suala hilo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: