TANZANIA YAJIBU HOFU YA KUPANDA KWA MAFUTA, “HATUTEGEMEI KUKUMBWA NA ATHARI ZA KUPANDA KWA MAFUTA”
Автор: Focus News Tanzania Tv 1
Загружено: 2026-03-11
Просмотров: 53
Описание:
TANZANIA YAJIBU HOFU YA KUPANDA KWA MAFUTA, “HATUTEGEMEI KUKUMBWA NA ATHARI ZA KUPANDA KWA MAFUTA”
Wakati vita vya Marekani, Israel dhidi ya Iran vikiendelea huko mashariki ya kati, huku kukizuka hofu kubwa ya athari zitokanazo na vita hiyo ikiwemo kupanda kwa bei ya nishati ya mafuta na gesi, huko nchini Tanzania serikali ya nchi hiyo imesema kuwa haitegemei kukumbwa na athari ya uhaba wa mafuta kutokana na vita hivyo.
Kauli hiyo imetolewa na mkurugenzi mtendaji wa Shirika la maendeleo ya Petroli nchini Tanzania (TPDC), Mussa Mohamed Makame, Wakati akijibu maswali mbele ya wandishi wa habari kuhusiana na hofu ya kupanda kwa bei ya mafuta hasa kutokana na vita vinavyoendelea huko mashariki ya kati.
#focusnewstanzaniatv1 #iran #tanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: