MZEE WA UPAKO(LIVE)
Автор: Mzee wa upako
Загружено: 2023-07-23
Просмотров: 587
Описание:
Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia Televisheni yake Ijulikanayo kama Mzee wa Upako TV inayopatikana kwenye King'amuzi cha Startimes Channel Namba 443 na Azam runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kumfuatilia 24/7 kwenye channel zake za Youtube Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH.
Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupako_tz.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: