UCHAMBUZI WA CLOUDSFM KUELEKEA AZAMFC vs YANGA
Автор: banyaleotv
Загружено: 2026-03-14
Просмотров: 2292
Описание:
NBC Premier League leo Jumapili
Saa 10:00 jioni, Mbeya City watakuwa uwanja wa Tanzanite Kwaraa wakiwakaribisha Singida BS.
Big Match saa 2:30 usiku, AzamFC watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa wakiwaalika Yanga SC.
Je, ni matajiri wa jiji ama Wananchi nani kuondoka na alama tatu katika derby hii ya Dar es Salaam?
"Mpira ni mchezo wa Fair na sio kwaajili ya timu moja. Hii mechi tulipaswa kucheza Chamazi. Tutacheza mechi zote mbili Benjamin Mkapa ambao ni uwanja wa nyumbani wa Yanga. Wana nafasi ya kushinda kwasababu wapo nyumbani ila hatulalamiki, tutacheza na kujaribu kushinda"
Florent Ibenge - Kocha Mkuu wa Klabu ya Azam FC
🗣“Tutacheza kwenye mazingira ambayo hatujayazoea kwa muda, tangu niwe kocha wa Yanga hii ni mara ya kwanza kucheza uwanja wa Benjamin Mkapa, tunakutana na timu ngumu zaidi kwenye ligi na timu imara sana."
PEDRO SOARES- Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga.
#azamfcvsyanga #yangavsazamfc #banyaleotv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: