WAZIRI ULEGA AMLIPUA VIBAYA MKANDARASI HUYU WA KICHINA, ADAI ANAWANYANYASA VIJANA WA KITANZANIA
Автор: ICON TV TZ
Загружено: 2026-02-11
Просмотров: 196
Описание:
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza wakandarasi nchini kulipa watumishi wao kwa mujibu wa sheria za nchi na si kuwapunja.
Waziri huyo ametoa maelekezo hayo wakati akikagua maendeleo ya barabara ya Same- Kisiwani- Mkomazi yenye urefu wa kilometa 100.5 ambayo inajengwa na mkandarasi M/S China Communication Construction Companya Ltd.
Katika tukio hilo alipata malalamiko kuwa wafanyakazi kwenye ujenzi wanalipwa fedha kidogo kuliko kile kinachokubalika kisheria
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: