IRAN YATHIBISHA AYATOLLAH ALI KHAMENEI AMEUAWA KATIKA SHAMBULIO LA MAREKANI NA ISRAEL.....
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-03-01
Просмотров: 6300
Описание:
IRAN YATHIBISHA AYATOLLAH ALI KHAMENEI AMEUAWA KATIKA SHAMBULIO LA MAREKANI NA ISRAEL.....
Televisheni ya taifa ya Iran imethibitisha kuwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameuawa kufuatia mashambulizi makubwa ya anga yaliyoripotiwa kulenga makazi yake jijini Tehran. Tangazo hilo limetolewa katika hotuba ya moja kwa moja iliyojaa hisia kali, ambapo mtangazaji wa televisheni ya serikali alionekana akibubujikwa na machozi huku akitangaza taifa kuingia katika siku 40 za maombolezo rasmi.
=================================================================
https://omg10.com/4/10665735
https://omg10.com/4/10664632
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: