Majaliwa aagiza Mtendaji wa Kijiji akamatwe kwa tuhuma za upotevu wa mamilioni
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-08-16
Просмотров: 4111
Описание:
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora Francis Zuakuu kumkamata aliyekuwa Mtendaji wa Kijiji cha Bulagamilwa, Ntemi James kwa tuhuma za kuhusika na upotevu wa shilingi Milioni 141.
Uamuzi wa Waziri Mkuu umetokana na maombi ya Mbunge wa Manonga Seif Gulamali aliyehitaji kusaidiwa kuhusiana na upotevu huo wa fedha za Kijiji ambapo kwa muda mrefu kumekuwa hakuna majibu ya kuridhisha.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: