Dimba la KMC Complex linazidi kunogeshwa, kuwekwa taa
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-07-03
Просмотров: 758
Описание:
KMC COMPLEX KUBORESHWA: “Manispaa imeshatenga kiasi cha shilingi bilioni mbili” sehemu ya maneno ya Mkuu wa Kitengo cha Habari wa Manispaa ya Kinondoni, Acquilinusi Shiduki akizungumzia kiasi cha fedha kilichotengwa kwa ajili ya kuboresha uwanja wa KMC Complex.
Mkuu huyo wa kitengo cha habari ametaja baadhi ya maboresho ikiwemo ufungaji wa taa ili kuwezesha mechi kuchezwa usiku.
#KMC
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: