Suluhu ni wajibu wa kidini - OMO | GUMZO UPDATES
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2026-02-27
Просмотров: 2137
Описание: Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT-Wazalendo, Mheshimiwa Alhaj Othman Masoud Othman, amewataka Wazanzibari kuitumia vyema neema ya mafundisho ya Kiislamu katika kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto za kisiasa zinazoikabili Zanzibar.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: