Watoto wa marehemu Gerishon Kirima watofautiana kuhusu urithi wa shamba la Kirima
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-11-04
Просмотров: 27436
Описание: Baadhi Ya Warithi Wa Mwanasiasa Gerishon Kirima Wamejitokeza Na Kukanusha Kuhusishwa Katika Mazungumzo Yanayoendelea Kuhusu Ardhi Ya Njiru Eneobunge La Kasarani Hapa Jijini Nairobi Wakisisitiza Kuwa Warithi Wote 15 Watajieleza Wenyewe Katika Kamati Inayowaleta Pamoja Jamaa Za Mfanyabiashara Huyo Wa Zamani. Mwanawe Kirima, Kasisi Gathoni Kirima Amejitenga Na Mazungumzo Yanayoongozwa Na Dadake Teresia Kirima Akisema Kuwa Kabla Ya Mazungumzo Kufanyika Ni Lazima Kwanza Masoroveya Wahusishwe Ili Ardhi Hiyo Iuziwe Maskwota Walioko Ndani Kwa Bei Ya Sasa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: