Siku ya Mwisho Shuleni Canada 🇨🇦 | East Africa Student in Canada
Автор: LEZA FAMILY
Загружено: 2025-06-21
Просмотров: 2424
Описание:
Karibu sana kwenye vlog yetu mpya! 🎥
Leo ilikuwa siku ya mwisho ya shule kwa mtoto wetu hapa Canada 🇨🇦 – mwisho wa mwaka wa shule 2024–2025. Tumeamua kuwachukua pamoja nasi ili muone jinsi watoto wa Kiafrika wanaishi na kusoma huku ughaibuni.
Kama mzazi kutoka Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda, Somalia au Ethiopia, hii video ni kwako. Tunaonyesha mazingira ya shule, watoto wakifurahi, na uzoefu wetu kama familia ya wahamiaji (immigrant parents).
🎒 Watoto wetu wanafunga shule kwa furaha, na tunajivunia kuwashirikisha hii safari na nyinyi.
✨ Usisahau: Like 👍🏾, Comment 💬, na Subscribe 📲 kwa video zaidi kuhusu maisha ya familia ya Kiafrika hapa Canada.
Tuko pamoja – Karibuni sana! 🇰🇪 🇺🇬 🇹🇿 🇷🇼 🇸🇴 🇪🇹
Follow for more:
📸 Instagram: lezatv Canada
📘 Facebook: JB leza
📍Location: Canada
#SikuYaMwishoShuleni #WatotoWaAfricaCanada #LastDayOfSchoolCanada #ShuleCanada #WakenyaCanada #WaafrikaCanada #EastAfricanImmigrants #CanadaVlog #FamilyLifeCanada #MwakaWaMasomo2025 #KenyanParentsAbroad #NewcomersInCanada #WatotoCanada
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: