Jinsi Ya Kupata Mkopo Bank Bila Kuteseka!
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2022-06-06
Просмотров: 5346
Описание:
Wajasiriamali wengi hukumbana na changamoto ya kupata mikopo ya biashara kutoka banki.
Wajasiriamali wengi huangaika kupata mkopo wa biashara! Je, unajua ni vigezo gani *benki* huangalia? Kwenye video hii, tunakupa mwongozo kamili wa jinsi ya kuandaa ombi lako ili upate *mtaji* muhimu kwa *biashara* yako, na kufikia *mafanikio* kama **ujasiriamali**.Video hii inaeleza vigezo vitano muhimu vya kukubaliwa mkopo bank na jinsi ya kufanya tasmini ya ombi la mkopo. Pia, video inatoa elimu ya jinsi ya kupata pesa kwa ujasiriamali.
Tunakuomba subscribe huduma zetu, ili usipitwe na video zetu zinazotoka kila siku
YOU TUBE CHANNEL DESCRIPTION
1. Soma eBooks za Ujasiriamali za Tan Business Channel: Wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Pata ushauri kupitia WhatsApp 255 716 682439
4. Pata habari zaidi kupitia website yetu: www.tanbusiness.co.tz
5. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwmabola #tuongeebiashara #tujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali
How to Start Business Channel ipo kwa ajili ya kutoa elimu ya kuanzisha biashara kwa vijana ambao wamemaliza masomo na wanataka kujiajiri. Msisitizo wa elimu uko kwenye mambo ya kutekeleza, kama unataka kujiajiri kwa kuanzisha biashara ambayo itakuwa endelevu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: