UWEKEZAJI WA HISA
Автор: Success Path Network
Загружено: 2019-11-09
Просмотров: 21740
Описание:
Uwekezaji wa hisa ni biashara inayofanikisha watu wengi sana kwa sasa. Lakini cha kusikitisha ni kwamba inaendelea kuwa biashara ya watu wenye uwezo au matajiri tu sababu wengi wao wanaingiza vipato vyao katika uwekezaji wakati masikini na watu wenye vipato vya kati wao pesa yao inakwenda katika matumizi holela, yaani yasiyo kuwa na mpangilio.
Umasikini hautaweza kuwaacha mpaka wabadili baadhi ya tabia katika maisha yao na hasa katika upande wa kuwekeza kwa ajili ya kesho yao. Jifunze zaidi kuhusiana na HISA, fursa ambayo wengi wanaendelea kuikosa kwa sababu ya kutokuwa na elimu ya kutosha kuhusiana na jambo hili.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: / ezdenjumanne
TWITTER: / ezdenjumanne
FACEBOOK: / ezdenjumanne
LINKEDIN: / ezdenjumanne
.
For Business please send me an email
[email protected]
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#Uwekezaji #Hisa #Gawio
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: