"Nimekuja Mwanza kufungulia mbwa" Waziri Mwigulu
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2018-02-14
Просмотров: 6505
Описание: Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Lameck Nchemba, yupo Mwanza kumnadi mgombea Udiwani Kata ya Isamilo kupitia CCM, pamoja na kumnadi mgombea Waziri Mwigulu amesema tayari amepata taarifa za uhalifu wa watu kupingwa na nondo pamoja na kutekwa kwa madereva bodaboda Mwanza, ameonya na kuziagiza Mamlaka zinazohusika kuchukua hatua dhidi ya huo uhalifu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: