TAARIFA MUHIMU ya BAKWATA KUHUSU SIKUKUU ya EID EL-FITRI KWA WAISLAMU TANZANIA NZIMA - MUFTI AELEZA
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-03-12
Просмотров: 672
Описание:
TAARIFA MUHIMU ya BAKWATA KUHUSU SIKUKUU ya EID EL-FITRI KWA WAISLAMU TANZANIA NZIMA - MUFTI AELEZA
@ONESMO SANGALALI - DAR
CC; BAKARI MAHUNDU
kwa ujumla kuwa Sikukuu ya Eid El-Fitri itakuwa Machi 20, au 21, 2026 kutegemea mwandamo wa mwezi na kueleza kuwa sherehe za Eid El-Fitri kitaifa kwa mwaka huu zitafanyika Mkoa wa Dar es Salaam.
Taarifa ya leo Machi 12, 2026 iliyotolewa na BAKWATA imebainisha kuwa Swala ya Eid itaswaliwa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA Makao Makuu Kinondoni kuanzia saa 1.30 asubuhi na kufuatiwa na Baraza la Eid litakalofanyika katika Ukumbi wa Julius Nyerere Convention Centre kuanzia saa 09.00 mchana Inshallah.
=================================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: