MWANAMKE ALALAMIKA BABA WATOTO KUCHUKULIWA NA MWANAMKE MWINGINE KUTOKA SOGODO/WATOTO HAWAMUONI BABA
Автор: Geah Habibu
Загружено: 2022-02-09
Просмотров: 46875
Описание:
Mwanamke huyu alinitafuta huku akiwa na Malalamiko kuhusu baba watoto wake kuchukuliwa na mwanamke mwingine ambaye anaishi mtaa wa sogodo Kinondoni Msisiri huko.
Mwanamke huyu akiwa na marafiki zake amefunguka mengi sanaa tangu alipogundua hadi mume wake alivyoondoka nyumbani moja kwa moja kwenda kwa huyo mwanamke mwingine wa huko Sogodo.
Tizzama haoa ujionee mwenyewe mwanzo mwisho kisha utoe ushauri wako
#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: