Jinsi ya 'Kupindua' Hatima Yako Kupitia Nguvu ya Madhabahu:Siri Hawataki Uijue
Автор: Bethsida Jesus Ministry
Загружено: 2026-02-27
Просмотров: 88
Описание:
madhabahu, vita vya kiroho, siri ya ushindi, madhabahu ya kalvari, damu ya Yesu, Calvary altar, supreme blood, maagano ya damu, madhabahu za mababu, kuvunja madhabahu za giza, spiritual technology, airport ya kiroho, madhabahu na ushindi, Gideoni, Elia, Nuhu, Ibrahimu, Betheli, 2 Wafalme 3, kuvunja pattern za familia, sauti ya madhabahu, Bethsida Jesus Ministry
Je, unajua kuwa kuna vita ambavyo havihitaji nguvu ya misuli wala akili nyingi?
Vita hivi vinahitaji sauti kutoka kwenye madhabahu.
Katika nyakati za kale, mfalme wa Moabu alipokuwa anashindwa vita (2 Wafalme 3:26), alitoa dhabihu kwenye ukuta na ghadhabu ikainuka, maadui wakakimbia. Dhabihu moja ilibadilisha anga. Ilibadilisha atmosphere. Ilibadilisha kushindwa kuwa ushindi.
Leo nakufundisha teknolojia hii ya kiroho.
Madhabahu ni airport ya kiroho.
Ni sehemu ambayo ulimwengu wa roho unakutana na ulimwengu wa mwili.
Ni sehemu ya exchange. Mwanadamu analeta dhabihu, anapokea ulinzi, ushindi na umiliki.
Nuhu alipotoka garikani hakujenga nyumba kwanza — alijenga madhabahu.
Ibrahimu kila alipofika aliweka madhabahu Betheli.
Gideoni alivunja madhabahu ya Baali kwanza ndipo ushindi ukaja.
Elia alirekebisha madhabahu iliyovunjika — moto ukashuka.
Madhabahu zina sauti.
Zinanena baraka au laana.
Kama kuna pattern za kurudi nyuma katika familia yako, ndoto za kurudia mitihani, mifumo ya umaskini, magonjwa au vifo — kuna madhabahu inayonenana kinyume na hatima yako.
Lakini kuna madhabahu iliyo juu kuliko zote — Kalvari.
Madhabahu ya Yesu Kristo.
Damu yake ndiyo supreme blood inayosilence sauti zote za giza.
Vita ni vya madhabahu.
Na ushindi ni wa madhabahu yenye sauti ya juu zaidi.
Shirikisha ujumbe huu ili macho ya kiroho yafunguke.
🙏 KUPOKEA YESU
Rudia:
“Bwana Yesu, mimi ni mwenye dhambi. Nisamehe leo dhambi zangu zote. Futa jina langu katika kitabu cha hukumu, andika katika kitabu cha uzima. Nakupokea kama Bwana na Mwokozi wa maisha yangu. Amen.”
🤝 SUPPORT THE MINISTRY
MPESA: 0723508528
Name: Henry Nyambura
LIPA NA M-PESA → BUY GOODS | TILL NUMBER: 5669910
🌍 FOLLOW BETHSIDA JESUS MINISTRY
YouTube: / @bethsidajesusministry
TikTok: @pastorhenrykiiru
Instagram: pastor_henry_kiiru
Website: https://bethsidajesusministry.com
#madhabahu #vitavyakiroho #damuyaYesu #kalvari #agano #maagano #spiritualwarfare #bethsidajesusministry #PastorHenryKiiru #supremeblood #Gideoni #Elia #Nuhu #Ibrahimu #Betheli #sautiyamadhabahu #kuvunjapattern #ushindiwakiroho #maombiyaushindi #altarsofpower
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: