MTWARA KUCHELE! TANESCO YAZINDUA MTAMBO WA KUZALISHA UMEME KWA GESI ASILIA MTWARA
Автор: Tanescoyetu
Загружено: 2025-10-27
Просмотров: 73
Описание:
MTWARA KUCHELE! TANESCO YAZINDUA MTAMBO WA KUZALISHA UMEME KWA GESI ASILIA MTWARA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua rasmi mtambo wa kuzalisha umeme kwa gesi asilia wenye uwezo wa megawati 20 na kuifanya mikoa ya Mtwara na Lindi kuwa na jumla ya takribani megawati 77.5 ilhali mahitaji ya juu kwa sasa ni megawati 38 pekee.
MPANGO UMEWEZEKANA — Umeme wa uhakika kwa Watanzania!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: