Matiang’i asisitiza hatoruhusu maamuzi yasiyo wazi ya upinzani kuhusu urais
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-18
Просмотров: 11341
Описание: Naibu kinara wa Jubilee Dkt. Fred Matiang’i, amesisitiza kuwa hatokubali maamuzi yoyote ya muungano wa upinzani kuhusu nani atakayepeperusha bendera ya urais kwa niaba ya muungano huo endapo hayatakuwa ya huru na wazi. Azma ya Matiang’i kutaka kuwania urais ikipigwa jeki baada ya chama cha pnu kufanya makubaliano rasmi na jubilee kwamba hakitakuwa na mgombea wa urais bali kitamuunga mkono Matiang’i
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: