MDAHAL0: BIBLIA HAINA MAKOSA, ILA QURAN INA MAKOSA MENGI: SHEIKH SULEMAN MBOGO AJIBIWA
Автор: BAYYINAT DM TV
Загружено: 2026-02-15
Просмотров: 548
Описание:
Wahadhiri wa Kiislamu kila mara wamekuwa wakidai kwamba Biblia imepotoshwa, na wala haifai kuitwa Neno la Mungu. Hata hivyo hoja zote wanazozitoa kuipinga Biblia walikwisha jibiwa zote. Kwa sasa wanafanya marudio tu.
Kwa upande wa Wakrristo wamekuwa wakitoa hoja kuonesha makosa ya Quran, lakini hakuna hata moja iliyojibiwa hadi leo na ndivyo itakavyokuwa hadi siku ya kiyama.
Katika mada hii mhubiri wa Kiislamu Suleman Mbogo amejaribu kuikosoa Biblia na kuahidi kuuacha Uislamu na kubatizwa iwapo maswali yake yote yatajibiwa. Humu maswali yake yote yamejibiwa. Muulizeni amekwisha batizwa. Karibu!
🎙️ New to streaming or looking to level up? Check out StreamYard and get $10 discount! 😍 https://streamyard.com/pal/d/55802598...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: