Mbunge Sanga alia wakulima Mbarali kuhamishwa, vijiji kufutwa
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-11-09
Просмотров: 2194
Описание:
Mbunge wa jimbo la Makete, Festo Sanga amehoji hatua ya serikali kupitia kwa mawaziri wanane wa kisekta la kufuta vijiji vitano na vitongoji 41 katika vijiji 14 pamoja na sehemu ndogo ya kitongoji cha Magwalisi ambacho kipo kwenye Mamlaka ya Mji mdogo wa Rujewa wilayani Mbarali ili kupisha hifadhi.Uamuzi wa kuhamishww kwa wanavijiji hao ulitangazwa oktoba 25 mwaka huu na waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk.Angelina Mabula.
#AzamTVUpdates #Mbarali #BungeniDodoma #ArdhiMbarali
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: