Ally Kamwe atoa ratiba yote ya Yanga kuelekea mechi yao dhidi ya Al Ahly
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 9222
Описание:
VIWANJANI: Msikie Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe akitoa ratiba yote ya leo ya kikosi cha Wananchi kuelekea mechi yao dhidi ya Al Ahly.
Yanga ipo Misri kucheza mechi yao ya tatu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) dhidi ya Al Ahly.
Mechgi ni saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports2HD
#CAFCL #LigiYaMabingwaAfrika #Viwanjani
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: