NJOMBE YALIPUKA KWA SHANGWE BAADA YA KUMDHAMINI RAIS SAMIA
Автор: CBK NEWS ONLINE
Загружено: 2025-08-13
Просмотров: 220
Описание: Mara baada ya kumaliza kumdhamini Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwania nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanachama wa CCM Mkoa wa Njombe walicheza na kuimba kwa furaha huku wakipaza kauli ya “Samia Mitano Tena” kuonesha mshikamano wao kwa kiongozi huyo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: