Viongozi kilifi waungana kumsaidia mwanafunzi kujiunga na gredi ya 10
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-01-14
Просмотров: 146
Описание:
Kilio cha mama asiye na uwezo wa kuona aliyekuwa akiomba msaada ili mwanawe aendelee na masomo kimesikika na kujibiwa. Stella Kadzo, ambaye hutegemea msaada wa wahisani, alisafiri hadi Shule ya Shimo La Tewa kuomba uongozi wa shule usifutilie mbali nafasi ya mwanawe wa Gredi ya 10 kwa sababu ya ada ambayo haijalipwa. Ombi lake la kusikitisha lililoangaziwa na vyombo vya habari liligusa mioyo ya viongozi mbalimbali katika Kaunti ya Kilifi. Mwanahabari wetu, Aaron Marie, anatuarifu zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: