MTOTO "AFUFUKA" GEITA, AKATWA ULIMI.
Автор: MwangazaTV
Загружено: 2021-12-17
Просмотров: 1549162
Описание:
Mtoto Leonard Morisha mwenye umri wa miaka 11 mkazi wa Kijiji na Kata ya Ngemo Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita aliyefariki Juni 27, 2017 katika Hospitali ya Wilaya ya Geita kwa Ugonjwa wa kuishiwa do na kuzika kijijini kwao, amedaiwa kufufuka baada ya kupatikana akiwa hai mwezi Oktoba ,2021.
#SubscribeuwewaKwanzaKupataHabarizetu. #Mwangazatv.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: