Mwisho wa mabalozi wetu Ulimwenguni umefika
Автор: ANDREWsoft
Загружено: 2023-06-03
Просмотров: 934
Описание:
Vyombo viwili pacha Voyager 1 na Voyager 2 ambavyo vimekuwa safarini kwa zaidi ya miaka 40 sasa tangu vianze safari miaka ya 70, hivi vyombo kwa sasa vinaelekea ukingoni japokuwa vitaendelea kubakia katika nafasi zake kama mabalozi wetu wa muda wote, tizama video kufahamu zaidi kuhusu historia ya vyombo hivyo na nini hatma yake.
Kama unapenda video zetu tafadhari hakikisha una subscribe hapa 👉 https://goo.gl/hxogF1
Pia fuata kurasa zetu za mitandao ya kijamii:
Facebook: / andrewsoftware
Instagram: / andrewsoft_tz
twitter: / andrewsoft_tz
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: