Tenzini Daima (Version 01) - Tenzi za Milele
Автор: Tenzi za Milele
Загружено: 2026-02-06
Просмотров: 1145
Описание:
Wimbo huu unasheherekea sifa na utukufu wa Mungu kama Mwamba wa milele na Mwokozi wa kweli. Unawahimiza waumini kudumisha ibada na shukrani, wakitangaza uaminifu wa Neno la Bwana na wokovu uliotolewa kupitia Yesu Kristo. Pia unasisitiza uongozi wa Roho Mtakatifu na mwendelezo wa sifa kwa Mungu kizazi hata kizazi.
Kupata albamu za Tenzi au kutembelea accounts zetu za mitandao ya kijamii na streaming platforms tumia link: https://linktr.ee/tenzizamilele
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: