HISTORIA YA MAISHA YA MARYAM MAMA WA NABII ISSA A.S.W
Автор: Kishki Online TV
Загружено: 2026-03-09
Просмотров: 431
Описание:
Simulizi ya mwanamke mtukufu katika historia ya Uislamu, Maryam bint Imran — mwanamke pekee aliyetajwa kwa jina ndani ya Qur’an Tukufu.
Maisha yake yalijaa uchamungu, subira na imani kubwa kwa Mwenyezi Mungu, hadi akapewa heshima ya kumzaa Nabii Isa ibn Maryam kwa muujiza mkubwa. Kisa chake kinabaki kuwa funzo la uvumilivu, imani na utukufu wa mwanamke katika historia ya Uislamu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: