MWANAMKE ADANGANYA KWA MUME KATEKWA ILI APATE MILION 10
Автор: Banana Fm Tz
Загружено: 2025-09-26
Просмотров: 83
Описание:
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na linaendelea kumhoji mkazi wa Mtaa wa Temeke kata ya Mhandu, wilaya ya Nyamagana, Loveness Daniel Kisile (30) kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwa mume wake na ndugu zake akidai ametekwa na watekaji wanahitaji Milioni 10 ili wasimdhuru na kutoa mimba yake.
Akizungumza na waandishi wa habari Alhamisi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbroad Mutafungwa amesema tukio hilo limetokea Septemba 24, 2025.
#bananafmupdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: