IBADA YA JUMAPILI : 28-12-2025 : MUNGU ANATIMIZA AHADI ZAKE.
Автор: ELCT Cathedral Dodoma TV
Загружено: 2025-12-27
Просмотров: 221
Описание:
Karibu katika IBADA ya Siku ya Bwana ya Kwanza baada ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo, MUBASHARA kutokea hapa K.K.K.T Usharika wa Kanisa Kuu Dodoma. Neno Kuu: Mungu Anatimiza Ahadi zake.
Unaweza kuungana nasi kwa SADAKA yako kupitia Lipa namba (Mixx by Yas) 16037181 KKKT Usharika wa Dodoma Mjini, unaweza kutuma sadaka yako kutoka mitandao yote. MUNGU AKUBARIKI.
#victoryinjesus #IBADA #jumapili #mubashara #sunday #sundayservice #live #kkkt #E.L.C.T #dodoma #2025 #tanzania #christmas #christmas2025 #seasonal #chrstmasseason #wordofgod #bible #biblia #biblestudy #kanisa #gospel #gospelmessage #gospelmusic #maombi #prayer #crucified #holycross #cross #jesus #jesuschrist #jesusislord #risensavior #risensavior #risen #heisrisen #amefufuka #ushindi #victory #adventcalendar #advent
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: