KIJA TUNGU (Official music video) By Elizabeth Maliganya - Sherehe ya Kutoa Mahari ya Kija Tungu
Автор: Eliza Band Music Africa
Загружено: 2025-11-06
Просмотров: 3777
Описание:
#MilaZaKisukuma #omkayaeliza #maharistamusic
Karibu kusikiliza wimbo huu maalum ulioandaliwa na Elizebth Maliganya (OmkayaEliza) kwa heshima ya sherehe ya kutoa mahari ya Kija Tungu huko Mwabuki Itilima Usukumani Mkoani Simiyu
Ni wimbo unaoelezea furaha, upendo, na mshikamano wa kifamilia wakati wa tukio hili muhimu la kitamaduni. La Utoaji Wa Mahali
Tunadumisha mila zetu za Kisukuma kwa muziki na furaha! 🎵
🔔 Usisahau ku-subscribe, ku-like, na kushare ili kuendelea kufurahia nyimbo nyingine nzuri kutoka kwa Elizebth Maliganya.
🎥 Video imeandaliwa na: DMproduction +255767391937
🎶 Mshereheshaji & Msanii: Elizebth Maliganya +255767391937
🏡 Tukio: Sherehe ya kutoa mahari ya Kija Tungu – Mwabuki Itilima Simiyu , Usukumani
❤️ Asanteni kwa sapoti yenu kubwa!
#ElizebthMaliganya #KijaTungu #Bukombe #MilaZaKisukuma #Mahari #Music #TraditionalVibes #omkayaeliza
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: